KWANINI KUNA HAJA YA MTU KUWA NA NDOTO YAKUTIMIZA KITU FULANI MAISHANI?
Nikitu cha kawaida sana kusikia mtu anasema nitakua mtu flani hapo baadae. mfano nilivyo kuwa mdogo nilipenda kuwa fundi magari,sikuweza kutimiza ndoto yangu na hii nisababu nilikuwa chini ya uangalizi wa wazazi wangu. wao walinikuza kuelekea malengo yao waliyo kuwanayo juu yangu licha ya mimi kuwa na juhudi binafsi juu ya matamanio ya moyo wangu.
Tuachane na utoto sasa tumekua unachotamani wewe sio rahisi kuzuiliwa tena. kwahiyo nimuhimu sana kwa sisi vijana kuwa na maono ya maisha yetu ya kesho. Niwazi kuwa kama unamaono fulani basi utakuta jitiada zako nyingi zakila siku zitagusa katika kulitimiza hilo,kamasio kimatendo basi kimawazo. Utapenda kufanya utafiti juu ya jambo hilo. Utapenda elimu na maarifa yanayotolewa juu ya maono yako...Mwisho wa siku utajikuta umetimiza malengo yako.
Vitabu vya dini vinasema "jinsi ile unavyoona ndivyo utakavyo pokea" je wewe mwenzangu unaona nini kuhusu kesho yako?
Je unaona shida?
Unaona kutumikia tu nasio kutumikiwa?
Unaona kutapeliwa?
Ndugu jinsi ile unavyoona ndivyo utakavyo pokea.
"Lets be optimistic and believe that everything will end better, because we have him who never fails( our GOD the Almighty)"
This comment has been removed by the author.
ReplyDeletethank you
ReplyDeleteNice work Fidelis
ReplyDelete